Konsonanti.
Hii ni aina ya sauti katika lugha ambayo wakati wa utamkaji hewa huzuiliwa katika sehemu mbalimbali kinywani au pia hewa huzuiliwa kidogo baada ya kupita koromeo.
Aina hii ya sauti hutambuliwa kwa kuzingatia sifa zifuatazo:
1.Mahali pa kutamka.
2.Namna ya utamkaji.
3.Mtikisiko au kutotikisika kwa koromeo.