Istilahi za isimujamii.

Kuna misamiati mbalimbali inayotumika katika isimujamii kama zifuatazo.

 • Sajili-Hii ni muktadha mbalimbali au mitindo maalum ya lugha inayotumika katika mazingira mbalimbali.
 • Lafudhi-Hii ni upekee wa mtu katika kutumia lugha maalumu.
 • Lahaja-Hivi ni lugha ndogondogo zinazochipuka kutoka lugha moja kuu.K.m Kiswahili kina lahaja nyingi kama vile kiamu,kimtangata,kipate, ngozi n.k
 • Lingua Franka-Hii ni lugha inayoteuliwa miongoni mwa watu wasiozungumza wenye asili tofauti ili iwaunginishe katika shughuli rasmi.
 • Pijini-Hii ni lugha inayozaliwa kutokana na mchanganyiko wa lugha zaidi ya moja/lugha mseto inayobuniwa kutokana na lugha tofauti.
 • Krioli-Hii ni lugha iliyozaliwa kutokana na lugha mbili au zaidi ambayo wazungumzaji wake huitumia kama lugha rasmi.
 • Misimu-Hii ni lugha inayotumiwa na kikundi fulani cha watu kwa lengo la kuficha siri zao na hueleweka tu nao.Misimu huibuka na kupotea baada ya muda fulani.
 • Lugha azali-Hii ni lugha inayozaa lugha nyinginezo.
 • Lugha mame-Hii ni lugha isiyokua na inayobakia katika umbo lake la awali.K.m Kilatini.
 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google photo

  You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  Connecting to %s