Msamiati wa vikembe.

Vikembe ni watoto/wana wa viumbe mbalimbali.Hapa tumechagua baadhi tu ya wanyama ili kuangazia vikembe vyao kama ifuatavyo.

 1. Mchwa-Kichuguu
 2. Ng’ombe-Ndama
 3. Simba-Shimbli
 4. Sungura-Kitungule
 5. Papa-Kinengwe
 6. Kipepeo-Kiwavi
 7. Punda na Farasi-Nyumbu
 8. Nyuki-Jana
 9. Ndege-Kinda
 10. Kuku-Kifaranga
 11. Nzige-Maige/Funutu/KimatuTunutu
 12. Chura/Mbu-Kiluwiluwi
 13. Punda-Kihongwe
 14. Mdudu-King’onyo
 15. Nge-Kisuse
 16. Jicho-Kingo
 17. Mbwa-Kilebu/Kelbu
 18. Nguruwe-Kivinimbi
 19. Nyani-Kigunge
 20. Nyangumi-Chengo
 21. Paka-Kinyaunyau
 22. Mbuzi-Kimeme/Kibuli
 23. Suri/Chotara-Mtoto kati ya wazazi wawili wenye rangi tofauti.K.m Mzungu na mwafrika.
 24. Meza-Saraka/Jarari/Athiari
 25. Mamba-Kigwena
 26. Farasi-Kitekli
 27. Fisi-Chongole/Kikuto/Kisuli
 28. Ngamia-Nirigi/Nirihi
 29. Mbweha-Nyamawa
 30. Ndovu-Kidanga
 31. Kondoo-Kibebe/Karama
 32. Samaki-Kichengo
 33. Nyoka-Kinyemere
 34. Mjoli-Mtoto wa mtumwa

1 Comment »

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s