Miguna Miguna atabiri kifo cha Raila Odinga
Tarehe 30,Agosti,2020 Miguna Miguna aliandika kwenye mtandao wake wa facebook kuwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga atakufa miezi sita kufikia mwaka mmoja wa kura ya maamuzi.Kwenye mtandao huo Miguna Miguna alisema, “six months to one year after referendum conman Raila Odinga is supposed to die.”
Miguna aidha alikubali kuwa kuwa kura ya maamuzi inakuja kama ilivyopangwa na Rais Kenyatta, Raila Odinga na Gideon Moi.Alisema kuwa kura hiyo itapitishwa kwa vyovyote vile na watakaonufaika na kura hiyo ni Raila,Kalonzo, Mudavadi na Gideon Moi.