About

Dikodiko ni mwalimu tajika wa lugha ya Kiswahili.Amefunza katika shule nyingi na zinatia fora.Anaienzi lugha ashirafu ya Kiswahili.

Mtandao wa http://www.kiswahilishirafu.guru ulioasisiwa naye umewasaidia wanafunzi wengi kuboresha na kumilisi lugha.

Ujasiri ndio nguzo muhimu katika mafanikio-Brian Pasteur.

Usisome tu bali soma kusoma-Wallah Bin Wallah.


Let’s build something together.


Donations

We are in need of donations to enable learning of Swahili language

$2.00